Rais wa Jamhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Joseph Magufuli na Kulia kwa Mh Rais ni Balozi wa India Nchini Mhe
Sandeep Arya,Kulia kwa Mh Rais ni Waziri Maji Mhandisi Gerson
Lwenge,akifuatiwa na Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli na Viongozi
wengine wa Mkoa wa Tabora wakikata utepe kuashiria Ufunguzi rasmi wa
mradi wa Maji toka Ziwa Victoria Kwenda Kwenye Mji wa Tabora,Igunga na
Nzega Julai 23,2917.
Rais wa Jamhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Joseph Magufuli akipeana Mkono na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa Mara Baada ya Ufunguzi wa
Ukarabati,Ujenzi na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege Tabora
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph
Magufuli na Balozi wa India Nchini Mhe Sandeep Arya,Wakiteta jambo mara
baada ya Mh Rais Kuweka Jiwe la Msingi na Ufunguzi rasmi wa mradi wa
Maji toka Ziwa Victoria Kwenda Kwenye Miji wa Tabora,Igunga na Nzega
Julai 24,2017.
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Joseph Magufuli akikata utepe kwenye Ufunguzi wa Barabara ya Tabora
-Puge -Ngeza yenye Urefu wa Kilometa 114.9 akiwa na Waziri wa Ujenzi na
Mawasiliano Prof Makame Mbarawa na Viongozi Wengine Wa Mkoa wa Tabora
Julai 24,2017
Rais wa Jamhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Joseph Magufuli,akipata maelezo ya Mradi Ukarabati,Ujenzi na Upanuzi wa
Uwanja wa Ndege Tabora toka kwa Mhandisi wa Ujenzi wa Uwanja huo
Mhandisi Neema Joseph kushoto kwa Mh Rais ni Waziri wa Ujenzi na
Mawasiliano Prof Makame Mbarawa Julai 24,2017
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli,akihutubia mamia ya
wananchi wa Mkoa wa Tabora Kwenye Uwanja wa Mpira wa Alli Hassani Mwinyi
Julai 23,2917.
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Joseph Magufuli akisalimia wananchi waliojitokeza kwenye Ufunguzi wa
Barabara ya Tabora -Puge -Ngeza yenye Urefu wa Kilometa 114.9 Mkoani
Tabora Julai 24,2017








0 Comments