Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akizungumza na baadhi ya Wadau wa mpira wa
miguu kuhusu namna bora ya kukuza na kendeleza mchezo huo leo jijini Dar es
salaam.
Baadhi ya Viongozi Wastaafu wa mpira wa miguu
nchini wakimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt.
Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) wakati wa majadiliano ya namna bora ya
kukuza na kendeleza mchezo huo leo jijini Dar es salaam. Wa kwanza kulia ni
Rais wa Heshima wa TFF na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Shrikisho la Mpira wa
Miguu Barani Afrika (CAF).
Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (aliyekaa katikati) baada
majadiliano ya namna bora ya kukuza na kendeleza mpira wa miguu leo jijini Dar
es salaam.
(Picha na Eleuteri
Mangi-WHUSM)



0 Comments