Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka pamoja na
Watoto wa Mji wa Bariadi mara baada ya hafla fupi ya Barabara kupewa
jina la Samia Suluhu Avenue.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akishuhudia barabara
iliyopewa jina lake Bariadi mjini ikiwa siku ya kwanza ya ziara yake
mkoani Simiyu. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi waliojitokeza kwenye viwanja vya saba saba Bariadi mjini ikiwa ni siku ya kwanza ya ziara yake mkoani Simiyu.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka akihutubia wananchi waliojitokeza kwenye viwanja vya saba saba Bariadi mjini ikiwa ni siku ya kwanza ya ziara yake mkoani Simiyu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo wakati Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka alipokuwa akihutubia wananchi waliojitokeza kwenye viwanja vya saba saba Bariadi mjini ikiwa ni siku ya kwanza ya ziara yake mkoani Simiyu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Viwanja vya Sabasaba Bariadi mjini ikiwa siku yake ya kwanza ya ziara yake mkoani Simiyu.

0 Comments