Random Posts

Majaliwa Atembelea Shule ya Msingi ya Mitindo Inayolea na Kusomesha Watoto Wenye Ulemavu wa Ngozi

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na watoto wakati alipotembelea shule  ya msingi ya Mitindo wilayani Misungwi  na kufungua bweni la wavulana katika shule hiyo ambayo pia inalea  na kusomesha watoto wenye ulemavu wa ngozi , Februari 19, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Wazri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mtoto Januari  wa Shule ya Msingi ya Mitindo wilayani Misungwi ambayo pia inawalea na kuwasomesha watoto wenye ulemavu wa ngozi , Februari 19, 2018. Mtoto huyo siku zote amesisitiza kwamba baada ya kumaliza masomo yake akiwa mtu mzima angependa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania .(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua madawati katika madarasa ya shule ya msingi ya Mitindo wilayani Misungwi baada ya kufungua bweni la wavulana shuleni hapo Februari 19, 2018. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Joh Mongella na kushoto ni Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo, S.  Mafie.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikgua mdawati katika madarasa ya shule ya msingi ya Mitindo wilayani Misungwi baada ya kufungua bweni la wavulana shuleni hapo Februari 19, 2018. Kushoto ni Mwalimu Mkuu wa Shule hyo, S. Mafie. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments