Random Posts

Harambee ya Kuchangia Mfuko wa Udhamini wa Kudhibiti UKIMWI Yafanyika Jijini Dar es Salaam

 Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akihutubia wakati harambee ya kuchangia Mfuko wa Udhamini wa Kudhibiti Ukimwi (ATF) katika hafla iliyofanyika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam Februari 13, 2017.
Picha zote na Philemon Solomon-Mtazamonews.com
 Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Udhamini wa Kudhibiti Ukimwi,Bw.  Godfrey Simbeye akitoa hotuba yake wakati wa harambee hiyo.
 Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Mheshimiwa Jenista Mhagama akihutubia katika harambe ya kuchangia Mfuko wa Udhamini wa Kudhibiti Ukimwi (ATF)  iliyofanyika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam Februari 13, 2017.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko akihutubia.
 Wadau wakiwa kwenye harambee ya kuchangia Mfuko wa Udhamini wa Kudhibiti Ukimwi (ATF) iliyofanyika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam Februari 13, 2017.
 Rais Mstaafu Benjamin Mkapa (katikati) akiwa na viongozi wengine wakati wa  harambee ya kuchangia Mfuko wa Udhamini wa Kudhibiti Ukimwi (ATF) iliyofanyika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam Februari 13, 2017.
 Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa akitoa zawadi ya picha iliyonunuliwa kwa sh. milioni moja katika harambee iliyofanyika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam Februari 13, 2017.
 Rais Mstaafu, Benjamini Mkapa akimkabidhi picha Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini Alvaro Rodriguez baada ya kuinunua
 Wasanii wakitoa Burudani.

Post a Comment

0 Comments