Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha
Bagamoyo(University of Bagamoyo UB) Profesa Costa Mahalu mara baada ya kufanya
nae mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimsikiliza Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu
cha Bagamoyo(University of Bagamoyo UB) Profesa Costa Mahalu mara baada ya
kufanya nae mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kulia ni mtoto wa
Profesa Mahalu ambaye ni Mwanasheria wa Kijitegemea Jaja Costa Mahalu.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mtoto wa Profesa Mahalu ambaye ni
Mwanasheria wa Kijitegemea Jaja Costa Mahalu mara baada ya kumaliza mazungumzo
na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo(University of Bagamoyo UB) Profesa
Costa Mahalu Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU



0 Comments