Naibu Waziri wa
Uchukuzi na Mawasiliano wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.
Mhandisi Atashasta Nditiye akiteremka kwenye boti katika ziara yake ya kukagua
huduma za mawasiliano na maeneo ya kujenga bandari kwenye mwambao wa Ziwa Nyasa
aliyoifanya kuanzia kata ya Manda iliyopo wilayani Ludewa mkoani Njombe hadi
Itungi wiliyani Kyela mkoani Mbeya
Meneja wa Bandari za
Ziwa Nyasa Bwana Ajuaye Heri Sese (wa pili kushoto) akifafanua jambo kwa Naibu
Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Mhe. Mhandisi Atashasta Nditiye (wa pili kulia) wakati wa ziara yake kuanzia
kata ya Manda iliyopo wilayani Ludewa mkoani Njombe hadi Itungi wiliyani Kyela
mkoani Mbeya. Wa kwanza kulia ni Mbunge wa Jimbo la Ludewa Mhe. Deo Ngalawa na
wa kwanza kushoto ni Katibu wa Mhe. Nditiye Mhandisi Hamza Faiswary.
Naibu Waziri wa
Uchukuzi na Mawasiliano wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.
Mhandisi Atashasta Nditiye (aliyeketi) akisimikwa kuwa Chifu wa kitongoji cha
Ihiiga kilichopo kwenye kijiji cha Nkwimbili, kata ya Lupingu, Wilaya ya Ludewa
iliyopo mkoani Njombe ikiwa ishara ya pongezi kwa kiongozi wa kitaifa kufika
hapo tangu mwaka 1979 katika ziara yake ya kukagua huduma za mawasiliano na
maeneo ya kujenga bandari kwenye mwambao wa Ziwa Nyasa aliyoifanya kuanzia kata
ya Manda iliyopo wilayani Ludewa mkoani Njombe hadi Itungi wiliyani Kyela
mkoani Mbeya. Wa kwanza kushoto ni mzee Thadei Otmari Ngalawa na aliyevaa
miwani ni Diwani wa Kata ya Lupingu Mhe. Skanda Mwinuka.
Naibu Waziri wa
Uchukuzi na Mawasiliano wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.
Mhandisi Atashasta Nditiye akizungumza na wananchi wa kijiji cha Nsele
kilichopo kata ya Kilondo wilayani Ludewa mkoani Njombe katika ziara yake ya
kukagua huduma za mawasiliano na maeneo ya kujenga bandari kwenye mwambao wa
Ziwa Nyasa aliyoifanya kuanzia kata ya Manda iliyopo wilayani Ludewa mkoani
Njombe hadi Itungi wilayani Kyela mkoani Mbeya
Mwenyekiti wa Chama
cha Mapinduzi Wilaya ya Ludewa Mzee Kolimba akimshukuru Naibu Waziri wa
Uchukuzi na Mawasiliano wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.
Mhandisi Atashasta Nditiye (hayupo pichani) wakati wa ziara yake ya kukagua
huduma za mawasiliano na maeneo ya kujenga bandari kwenye mwambao wa Ziwa Nyasa
aliyoifanya kuanzia kata ya Manda wilaya ya Ludewa mkoani Njombe hadi Itungi
wilayani Kyela mkoani Mbeya.
0 Comments