Random Posts

Kampuni ya PLASCO Ltd Yawatunuku Zawadi Wafanyakazi Bora wa Mwaka.

 Mkurugenzi wa uendeshaji wa kamapuni ya Plasco Ltd, Alimiya Osman akiongea na wafanayakazi wanzake  wakati wa hafla  ya kuwapongeza na kuwatunuku zawadi wafanyakazi bora  wa mwaka iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa uendeshaji wa kamapuni ya Plasco Ltd, Alimiya Osman (kushoto)akimkabidhi  zawadi ya TV  Thomas Limo baada ya kutangazwa mshindi wa tatu   wakati wa hafla ya kuwapongeza na kuwatunuku zawadi wafanyakazi bora  wa mwaka wa kampuni hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa uendeshaji wa kamapuni ya Plascom Ltd, Alimiya Osman (kushoto)akimkabidhi zawadi ya jiko la umeme na gesi  Richard Mlenge mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa pili   wakati wa hafla ya  kuwapongeza na kuwatunuku zawadi wafanyakazi bora  wa mwaka wa kampuni hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Plasco Ltd wakisaidiana kunyenyua friji  la mfanyakazi bora wa mwaka wakati wa hafla ya  kuwapongeza na kuwatunuku zawadi wafanyakazi bora  wa mwaka wa kampuni hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa uendeshaji wa kamapuni ya Plascom Ltd, Alimiya Osman (kushoto)akimkabidhi  mfanyakazi bora wa mwaka Mussa athuman zawadi ya Friji   wakati wa hafla ya  kuwapongeza na kuwatunuku zawadi wafanyakazi bora  wa mwaka wa kampuni hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam, wapili kushoto ni Meneja rasilimali watu  Phinias Mashauri na  mkuu wa fedha  Unguu Sulay.

Post a Comment

0 Comments