Kiongozi
wa Kamati ya Majadiliano kwa upande wa Serikali, Waziri wa Katiba na Sheria
Profesa Palamagamba Kabudi akitia saini pamoja na Mkurugenzi wa Tanzanite One
Faisal Juma mara baada ya kufikia makubaliano na Kampuni hiyo ya Uchimbaji wa Madini ambayo
imekubali kulipa fidia kwa Serikali pamoja na mambo mengine ya Kimkataba.
Kiongozi
wa Kamati ya Majadiliano kwa upande wa Serikali Waziri wa Katiba na Sheria Profesa
Palamagamba Kabudi akibadilishana hati za Makubaliano na Mkurugenzi wa
Tanzanite One Faisal Juma mara baada ya Kampuni hiyo ya Uchimbaji wa Madini
kukubali kulipa fidia kwa Serikali.
Kiongozi
wa Kamati ya Majadiliano kwa upande wa Serikali Waziri wa Katiba na Sheria
Profesa Palamagamba Kabudi akiwa na
watendaji wa Kampuni ya Uchimbaji madini ya Tanzanite One wakati akielekea
kusaini hati za makubaliano baina ya kampuni hiyo na Serikali.
Kiongozi
wa Kamati ya Majadiliano kwa upande wa Serikali Waziri wa Katiba na Sheria
Profesa Palamagamba Kabudi akizungumza mara baada ya kuhitimisha mazungumzo na
kusaini hati ya Makubaliano yatakayoiwezesha Serikali kulipwa fidia na Kampuni
ya uchimbaji madini ya Tanzaniate.
Kiongozi
wa Kamati ya Majadiliano kwa upande Kampuni ya Tanzanite One Faisal Juma
akizungumza mara baada ya kuhitimisha mazungumzo na kusaini hati ya Makubaliano
yatakayoiwezesha Serikali kulipwa fidia na Kampuni ya uchimbaji madini ya
Tanzaniate.
Kiongozi wa Kamati
ya Majadiliano kwa upande wa Serikali Waziri wa Katiba na Sheria Profesa
Palamagamba Kabudi akiagana na Mkurugenzi wa Tanzanite One Faisal Juma mara
baada ya Kampuni hiyo ya Uchimbaji wa Madini kukubali kulipa fidia kwa Serikali
pamoja na mambo mengine ya Kimkataba kama walivyokubaliana.
PICHA NA IKULU







0 Comments