Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kulia) akiwasalimia wachezaji wa Timu ya Simba kabla
mpambano wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi na Timu ya Azam jana katika
Uwanja wa Amaan Mjini Unguja,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) akiwasalimia wachezaji wa Timu ya Azam kabla
mpambano wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi na Timu ya Simba jana katika
Uwanja wa Amaan Mjini Unguja,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Timu ya
Azam kabla mpambano wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi na Timu ya Simba
jana katika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Waamuzi wa mchezo wa
Fainali ya Kombe la Mapinduzi kati ya Timu ya Simba na Azam jana katika
Uwanja wa Amaan Mjini Unguja,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Timu ya
Simba kabla mpambano wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi na Timu ya Azam
jana katika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja.
Wachezaji wa Timu ya Simba wakiwa pwaya bila kushangilia wakati Mchezo
wa fainali na Timu ya Azam uliposhika kasi katika mUwanja wa Amaan Mjini
Unguja jana hatimae Azam waliwabandika Simba 1-0,
Mchezaji wa Azam Joseph Mahundi akimzuia Besela Bakungu-Simba katika
mchezo wa fainali ya Mapinduzi Cup 2017 mpambano uliofanyika jana katika
Uwanja wa Aamaan Azam iliifunga Simba 1-0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akiwavalisha nishani wachezaji wa Timu ya Simba wakiwa washindi
wa pili Kombe la Mapinduzi 2017 baada ya kumalizika mchezo wa Fainali a
Timu ya Azam jana katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,Azam
walitoka kifua mbele klwa 1-0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akimkabizi Kitita cha Shilingi za Kitanzania Millioni Tano
Nahodha wa Timu ya Simba Jonas Mkude baada ya Mchezo wa Fainali ya
mchezo wa fainali Kombe la Mapinduzi 2017 kati ya Azam na Simba ambapo
Azam walitoka kifua mbele kwa 1-0,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akiwavalisha nishani wachezaji wa Timu ya Azam baada ya
kumalizika mchezo wa Fainali ya Mapinduzi Cup kati ya Azam na Simba na
kutoka 1-0 katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja jana,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akimkabishi Kombe la Mapinduzi mwaka 2017 Nahodha wa Timu ya Azam
John Bocco jana, baada ya timu hiyo kuifunga Simba kwa bao 1-0 katika
mchezo uliomalizika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja.
[Picha na Ikulu.]
14/01/2017.
No comments:
Post a Comment