Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Mabalozi mbalimbali pamoja na Waakilishi wa Mashirika ya Kimataifa katika
sherehe ya kukaribisha Mwaka mpya kwa Mabalozi hao wanaowakilisha nchi zao hapa
nchini(Diplomatic Sherry Party) iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa
Mambo ya Nje Balozi Dkt. Augustine Mahiga katika picha ya pamoja na Mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao
hapa nchini katika Hafla ya kukaribisha Mwaka mpya 2018 kwa mabalozi hao
(Diplomatic Sherry Party) iliyofanyika Ikulu.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
kuwakaribisha Mabalozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam kabla ya kuanza
kwa hafla ya kukaribisha mwaka mpya kwa Mabalozi hao.
Baadhi
ya Mabalozi hao wakisikiliza Hotuba iliyokuwa ikitolewa na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika hafla hiyo iliyofanyika
Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment